Lillian MwashaAnthony ( @lillianmwasha.anthony ) Instagram Profile

lillianmwasha.anthony

Lillian MwashaAnthony

 • 1.2k posts
 • 53.9k followers
 • 80 following

Lillian MwashaAnthony Profile InformationLillian MwashaAnthony Account is Private
Request to follow lillianmwasha.anthony to see their photos and videos.

@lillianmwasha.anthony Profile picture

@lillianmwasha.anthony

CloudsFM Radio

Ungana @lillianmwasha.anthony akiwa na @harriskapiga ndani ya TEMINO kuanzia saa tisa mchana mpaka kumi na moja

Topic:Ukatili dhidi ya wanawake na watoto.

Guest Speakers
1. HAMZA JABIR MKUFUNZI WA ASASI ZA KIRAIA NA WAKILI. 2. HENRY H. MWINUKA- WAKILI KUTOKA AVIS LEGAL NA MUHADHIRI WA CHUO

982 0 12 October, 2019
@lillianmwasha.anthony Profile picture

@lillianmwasha.anthony

Reposted from @womenmatterstz (@get_regrann) - Tunapenda kutoa shukrani za dhati Kwa kuwa nasi katika msimu wa kwanza wa #WomenMatters. Mmekuwa nasi bega kwa bega, tunaiona nguvu yenu. Tunajiandaa kurudi tena katika msimu wa pili kwa ukubwa zaidi na bila shaka mtafurahi. Endelea kuangalia nafasi hii ili usipitwe na uhondo mpya cc @lillianmwasha.anthony @babyskytz @auntsadaka @mamaterrytz @zuriihouseofbeauty @mirabel_flowers - #regrann
#Worry out..Its coming soon..ITS coming to be BIG and BETTER

428 0 11 October, 2019
@lillianmwasha.anthony Profile picture

@lillianmwasha.anthony

@lillies_cocktails is getting married...Its a huge blessing to all of us na mambo ndo kwaanza yameanza.

Kwakweeli NIMENOGA..uongo uongoooo?
Ahsante saana kwa wafuatao.

@realolivia_ for the outfit idea..Ufungue tu biashara ya mavazi mdogo wangu.
@mgece__cici__designs Great Jumpsuit hun...Ntarudi kushona nyingi zaidi
@mumynunu For the hair wrap
@zuriibeautyclinicandspa For always making me shine with your outstanding makeup.
@makande_jr7 For these great pix.
@mcluvanda_events For TrainingMe.

__________________________________________
@jesuschrist for making me your vessel

#For booking me to your events please call @mcluvanda_events🙌

880 0 8 October, 2019
@lillianmwasha.anthony Profile picture

@lillianmwasha.anthony

Nothing Free Here

My sister upo?Ujumbe huu nakuandikia wewe but unaweza ukashea na your brother maana hata yeye waweza kumsaidia.

Ni hivi..HAKUNA KITU CHA BURE CHINI YA JUA.Kila kitu kina sababu na usipoijua sababu basi usifanye wala kupokea kitu kwa mtu pasipo kujua maana waweza kuwa unauza utu wako.

My sister,Kila lunch unayokula ya bure bila kujua kwanini unakula pasipo wewe kujua huwa ni EXCHANGE ya kitu flani.Yeye anayekununulia lunch huwa ana kusudio na tamanio la moyo na huwa ANANUWIA tamanio hilo.Wewe umeitwa tu lets do LUNCH pasipo hata kujua WHY unaitwa lunch unaenda na kula vya bure...Before you know it..Jamaa ulikuwa humpendi gafla unaanza kumpenda na mahusiano yalianzia wapi we hujui.

Hapana siongei UCHAWI hapa my sister naongelea issues za rohoni ambazo huzijui na kwa kutokujua kwako umeanguka na mengi.

My sister wadada wangapi unaowajua walioangula kwa chanzo cha chipsi kuku?We unafikiri walitaka kuanguka?Ni hayo manuizi ya moyo yaliyofanywa na kuwarubuni AKILI.

My sister,Wewe mtu hauko nae close wala nini eti anakuletea zawadi..Jiulize nimefanya nini kustahili hiyo zawadi?.Wewe unakaribia kabisa kufanya mtihani au interview au ndoa from no where shoga ambaye ulikuwa huna ukaribu nae anakuletea zawadi na my sister pasipo kuwaza unapokea na kuona UNAPENDWA..Bila kujua ile neema juu yako unakuwa umeiuza kwa kupokea zawadi na unashangaa mipango yako yote haiendi vile ulipanga.

Sisemi usichukue zawadi lakini KABLA hujapokea tafadhali jua maana yake na muulize yule anayekupa #unanipa hii kwa KUSUDI GANI?Sio anakupa tu na kusema NAKUPENDA TU NDO MAANA NIMEKUPA..JIULIZE WHY YOU?
Duniani humu tumeumizwa sana kwa upumbavu wetu wenyewe na niko hapa kukutoa kwenye hilo.GIZA...KATAAA kufanywa mjinga na kataaa kupokea pokea vitu pasipo kujua umuimu wake.

Wewe kilaaa siku mkitoka lunch rafiki zako ndo wanalipa hakuna hata siku umelipia bili...Ndio maana wanaendelea kukulipia huu mwaka wa nne sasa na huna pesa ya kulipa..Lakini hushangai kwanini wakitoka wanataka uwe nao hata kama huna pesa?Sababu ulichonacho ni kikubwa kuliko pesa zao na WANAKICHUKUA kwako taratibu kupitia VITU wanavyokulipia.KATAA KUUZA UTU WAKO KWA DHAMANI ISIYOFAA.

#LindaNyotaYAKOyenyeTHAMANI.

533 0 7 October, 2019
@lillianmwasha.anthony Profile picture

@lillianmwasha.anthony

CloudsFM Radio

@open_kitchen2014 You were great darling...ALWAYS ONPOINT.
Ahsanteni wote kwa kunisikiliza.

989 0 5 October, 2019
@lillianmwasha.anthony Profile picture

@lillianmwasha.anthony

Yaani mpaka jioni hii kama uko Dar na hujajua wapi pa kwenda basi njoo huku @bestwesternpluspeninsulahotel tupige story zenye tija saana kuhusu maisha ya yetu na mahusiano yetu na Mungu.
See you soon dear.

82 0 4 October, 2019
@lillianmwasha.anthony Profile picture

@lillianmwasha.anthony

Embassy of the United States of America

Hahahhaah Forget this is AMERICA MATTER...AMERIKA OHHH WHY DO YOU DO THIS TO US....EHH?

608 0 2 October, 2019
@lillianmwasha.anthony Profile picture

@lillianmwasha.anthony

October Glasgow

Sikia haya mwanangu;Haya maisha haya yana kusudi, na MUNGU aliyeko juu ana watu aliwachagua wakuongoze kwenye haya maisha

Yaani ni hivi.Nyota yako ili ing'ae kuna mtu amewekwa kukusaidia IWAKE.Nenda mbele nenda nyuma huwezi KUTOBOA maishani mpaka umeambatana na huyo mtu.Cha ajabu na cha kushangaza huyo mtu kumgundua huwa ni ngumu na most of the times huwa tunamchukulia poa.

Mtu huyo aweza kuwa mume au mkewako..Ukiwa naye mambo yako yanaenda vizuri mnooo lakini sababu shetani hapendi mambo yaende basi unaweza tu siku yakakupanda na ukajisikia hutaki tena kumuona maishani.Usielewe kwamba huyo ndio MUWASHA NYOTA wako siku mkiachana NYOTA INAZIMA.

Lemmie go deeper.Unaweza ukaniuliza mbona nimeachana na flani na mambo yangu yanandea sawa?Ngoja nikwambie.Effect ya nyota kufifia huchukua muda.Na shetani anaweza kukudanganya ukajiona hata kama mmeachana bado mwanga wa nyota upo.Ndio unakuwepo sababu uliambatana nae kwa muda mrefu.Lakini ndugu yangu mwanga unafifia taratiibu na soon utazima kabisa na hakuna atakayeweza kukutambua tena.

Mungu huwa hakosei na anaelewa kwanini amekufanya uwe karibu na huyo bosi ambaye hajui kitu..Kila ukimuangalia unajiona kabisa unajua kuliko yeye.

Mungu hajakosea kukupa business partner kama huyo..Kazi zote unafanya wewe na saa nyingine unaona anakuibia..Ndugu yangu kabla hujafanya maamuzi ya kuachana nae kaa chini muulize Mungu je huyu ni wa kuachana nae au la?Maana kama ndiye Mungu kakupa na ukamuacha utajutia maisha.

Wana wa israeli na ujanja wao wote wasingeweza kutoka misri isingekuwa MUSA.MUSA alionekana ana kiherehere sana kwao na kuna wakati walim-CHENJIA lakini MUNGU alimchagua MUSA kuwawashia nyota.

MWANANGU usikurupuke kuacha mbachao kwa msala upitao.Hilo dili ambalo umeitiwa leo kama usingekuwa na huyo WASINGEKUONA.So dharau zako za kujifanya unaondoka ZITAKUCOSTI.

Huyo mchungaji ambaye unaona HAFAI na anakuboa..Basi nikwambie HUYO akilia mbele za Mungu kuhusu wewe machozi yake hukubaliwa na majibu yako hupatikana.Ndio huyo huyo aliyeko chini ya mti ambapo hakuna AC wala kwaya..Sasa kurupuka toka bila kupata baraka zake uone..SIO MBAYA KUMUACHA BUT hama kwa HEKIMA.

#UsiacheMBACHAOkwa-MSALAupitao
#SuperOKTOBA

700 0 1 October, 2019
@lillianmwasha.anthony Profile picture

@lillianmwasha.anthony

Kampala Serena Hotel

It was nice meeting these powerful GIANTS in the Kingdom of God @phanerookampala thank you for hosting me.Apst Grace keep soaring into his greatness..The world will soon understand what the Lord has put in you.
Pastor Brian you have a
an amazing soul and Pastor Isaac your service in HIM is fully recognised.

ILove you my new KAMPALA FAMILY.

459 0 30 September, 2019
@lillianmwasha.anthony Profile picture

@lillianmwasha.anthony

Kampala, Uganda

Ahsante sana kwa kusikiliza TEMINO.

Ahsante sana kwa kusikiliza TEMINO.
928 0 28 September, 2019
@lillianmwasha.anthony Profile picture

@lillianmwasha.anthony

Kampala, Uganda

THE PAPA GENERATION
________________________________________________

The Generation that respects Papa more than God
The Generation that fears Papa more than God
The Generation that Prays to the God of Papa before checking If Papa really is connected to God
The Generation that Prays to the God of Papa before checking which God Papa serves.

The Generation that prefers fighting for Papa but can’t fight for the gospel of truth .
The Generation that covers Papa’s sins because it is disloyalty not to do so.

The Generation that is blinded by Papa’s fancy suits and can’t see the filth behind the suits.

The Generation of Women who respect Papa more than they respects their husbands;
The Generation of women who kneel before Papa to greet him but serves their husbands food while standing🙄. The Generation of women who calls Papa ‘’Daddy’’but don't relate to JESUS and they actually don't know who is he to them.

The Generation that follows trends not scriptures,
The Generation that moves with the flow not with the Holy Spirit.

The Generation that believes everything they hear without checking if it’s backed up by the scripture,
The Generation that is ready to die for Papa but is not ready to die for the gospel.

The Generation that worships Papa without knowing it.
The Generation that goes to church to listen to Papa’s stories not to the Holy Spirit speaking through a man .

The Generation that has Put Papa under pressure to perform every Sunday.

The Generation that has kicked the Holy Spirit away from the altar and replaced him with a golden Goat designed to the specifications of the church .

The generation ambayo imeaminishwa kwamba MUNGU hawezi kuongea nao ataongea tu though Papa..Yaani Papa akisema basi ndo Mungu kasema na hata Mungu akiongea nao lazima Papa a CONFIRM kile amesikia..Hivi nani katuroga?Haya mambo mbona ulaya hayapo?MCHAWI WETU NI NANI WA AFRICA JAMANI?Yaani machozi yananitoka.

JESUS IS COMING SOON.
#PAPA WILL NOT TAKE YOU TO HEAVEN;
#PAPA WILL ACCOUNT FOR HIMSELF SO WILL YOU.
#PAPA KNOWS THAT HE IS MISLEADING YOU BUT HE TRIES BY ALL MEANS TO BLIND YOU FROM SEEING IT.

1140 0 27 September, 2019
@lillianmwasha.anthony Profile picture

@lillianmwasha.anthony

Hizi kazi asikudanganye mtu..Kipaji kinahitajika lakini cha muimu ni kutafuta mtu akakufundisha na ukawa tayari kujifunza na usiwe mbishi we nyenyekea to the end hata saa nyingine ukiamini kabisa kwamba unaonewa..Jua kujishusha na kumuweka Mungu mbele na usijifanye mjuaji..Story yangu kwa hii industry ni ndefu saaana sijafika hapa kimzaa mzaa..Niko clouds huu mwaka wa 16(Siri ni KUNYENYEKEA)

Leo ntawapa siri..Mwalimu wangu wa kwanza kwa hizi kazi ni @jembenijembe huyu mwalimu ni mnoko balaaa...Nilianza nae @njiapanda na kuna siku nikichelewa studio ananizimia mike hakuna kuongea mpaka SHOW iishe..But he trained me well and i will forever CHERISH this man maana bila yeye clouds ningeisikiliziaga redioni tu.

Mwalimu wa pili alikuwa @josh Sijui yuko wapi huyu mtu wangu..Anybody knowing where Josh is?Program manager wa enzi zile kitega uchumi TAG him pls.Sasa huyu alikuwa mnoooko kuliko Seba.Kuna siku nilichanganya matangazo akanifukuza studio na kuniambia hataki kuniona tena mjengoni....Nilikomaa na kuomba msamaha na alinisamehe na kunirejesha mjengoni.Leo hii naweza kukaa kwenye ile mashine nikaendesha @jahazi freeesh bila stress coz of JOSH.

Mwalimu wangu mwingine wa hizi kazi ni @harriskapiga huyu kanikuta nshakuwa mtu mzima na atleast kazi naiweza BUT nimegundua lazima ujishushe kupandishwa...Mzee ana points hatari na akisema fanya we fanya akikwambia usifanye USIFANYE.Huyu hana unoko sana but kuna wakati nagombezwaga off air na naishia kusema Sorry baba.

Mwalimu mwingine ni marehemu #MotieMengi..Hivi unajua nilishafanyaga kazi @channel5 na @eastafricaredio? Kama huamini waulize
@maimarthajesse @seko_shamte @benkinyaiya @acejay (Missing youGuys)

Its funny...Hao juu ndo walimu wangu wakuu wa hizi kazi...Kwanini hakuna mwanamke?Kwakweli usiniulize hata SIJUI.Lakini nafikiri wanawake kufundishanaga inakuwaga ngumu sana..Na leo niko hapa kusema hiviiii.....Ukiwa unafikiri unakipaji cha kuendesha (TalkShows)maana thats what i do best and hicho nicho nimefundishwa kufanya...Niko tayari kukufundisha..Sikuahidi kukuingiza studio za CLOUDS but niko tayari kukupa the Dos and DONTs on how to run a great talk show kwa redio na TV.
#CloudsRocks
#MediaLife

1520 0 24 September, 2019
@lillianmwasha.anthony Profile picture

@lillianmwasha.anthony

Appologise

Kuna mambo mengine KUSAMEHE inakuwa ngumu mnoooo.Alafu inaumaaa pale aliyekukosea anasema ETI mimi ni binadamu...Come ooon..Kwakweli bila YESU msamaha ni MGUMU SAAAANAAAAAA.

Usikose kuangalia our new episode ya womenmatters iko ishaiva ndani ya Yutube we andika WOMEN MATTERS na mzigo mzimaaaa utashuka.

Max wangu polee kwa hicho kibao kitakatifu..Umeyatakaaaa mwenyeweee hahaha @maxrioba

Ahsante kwa kuendelea kututizama.
@maxrioba
@auntsadaka
@mcluvanda_events
@dr.mwaka
@babyskytz
@skytanzania
@mamaterrytz
@pearl_pg
@johnulanga

714 0 23 September, 2019
@lillianmwasha.anthony Profile picture

@lillianmwasha.anthony

The Happening Place

So he told me i could do it and i refused..Then he forcefully trained me and now i have a DOUBLE PORTION of what he carries.I Love you husband😙😙
Hapa si ndo mjini?Tupige kazi baba.
#ModeratorJob
#LearntfromtheBest@mcluvanda_events
#Thank you my bride Angela Shiyo for trusting in our brand.
@suti ya ukweli by @ki2pe
@makeup ya ukweli by @zuriibeautyclinicandspa
@flat shoes by @ladies_choice1
#highheels @shoe_ville

2612 0 22 September, 2019
@lillianmwasha.anthony Profile picture

@lillianmwasha.anthony

Heshima

Mwanamke ninaongea kwa uchungu mkubwa sana utafikiri nimekuzaa..Ninaongea pia kwa hasira kama mama yako mzazi..Hivi ni nini KIMEKUKUMBA?Kwanini unafanya upuuzi mitandaoni?Hivi unaelewa maana ya mitandao wewe?Hizo sehemu unazo onyesha hadharani zinaitwa SEHEMU ZA SIRI.Mapaja yako na nyonyo yako ni vitu vya ndani ambavyo inabiddi uvistiri..Ukiviacha hadharana unamsaidia nani kama sio kujiumiza wewe mwenyewe?

Sikuizi umeanza tabia ya kwenda swimming pool na baharini na kuogelea na kwa sababu uko ufukweni umejihalalishia kuvaa UCHI unapiga picha ukiwa na bikini na kupost..Sikatai hata mimi naogoelea na sio kwamba naogelea na DERA hapana..Ila hakuna haja ya kupiga picha ukiwa na swimming costume au bikini ukaipost insta au facebook..Unataka waone nini sasa wananzengo?jinsi unavyojua kuogelea au jinsi maumbile yako yanavyopendeza in costume?WHY WHY WHY do we do this girl?

Umeanza tabia ya kufanya mazoezi,sikatai..Lakini nguo za mazoezi unazovaa zinakuchoooora mwili mzima na hata nguo za ndani huvai...Unasubiria wakati wa trafic jam unaweka earphones masikioni na kuanza kutembea ukitingisha huo mwili..Wanaume woooote kwa magari na wanawake barabarani wanakushangaa..Isitoshe hapo, utachukua simu na KUPIGA PICHA UPOST..Sikatai mazoezi ni afya but ukivaa mbano ukapiga TAKO na nguo ya mazoezi sijaelewa unataka tuone nini hapo mwanangu.

Mwanangu haya ufanyayo yatakuja kukucost baadae..Picha upigazo ni hati miliki ya UPUUZI unaoufanya duniani.Kuna siku watoto wako watachekwa na dunia na wajukuu zako wataki wewe haupo.Watajiuliza ulikuwa na maana gani but hautakuwepo kuwajibu utakuwa umewaachia laana tu duniani humu.

Mwanangu kuna kitu kinaitwa EVIL EYE.(Jicho BAYA)kasome bibilia yako.Kuna watu wana macho MABAYA akikuangalia tu na kutamka au kukuhisia hila mbaya inakuwa.

Mwanangu hongera umepata UJA UZITO..Ni vyema kupiga picha na kuiweka ili mwanao akija umuonyeshe na hata sio mbaya kupost picha hiyo ukiwa umevaa vizuri..Lakini unapiga picha tumbo uchiii unapost..WHY?unamalengo gani haswa mwanangu.Ukipiga picha za mimba zilizo jistiri subiri ukijifungua ndo uzipost..Sio unapost mtoto hajatoka.MWANANGU WATU WABAYA NA SHETANI YUPO #UTAKUJA-KUTENDWA
#jiheshimuuheshimike

871 0 21 September, 2019
@lillianmwasha.anthony Profile picture

@lillianmwasha.anthony

JESUS is POWER

Nimekaa na hii msg kwa muda na nilikuwa nawaza jinsi ya kuileta mezani kwako.Mungu ni mwaminifu kanipa njia na ni hivi.

Kuna kitu kinaitwa ENERGY au nguvu iliyoko ndani ya kila mwanadamu.Nguvu hii ni kama smaku huvuta au kuvutia aina flani ya watu wenye the same ENERGY.

Mhhh..Nguvu hii hupewa uhai zaidi na vitu tofauti. LAKINI Lango kuu la kuharibu hii nguvu au kuichochea hutokana na aina ya watu unaruhusu KUFANYA NAO MAPENZI.

Pindi ukilala na mtu;Kuna mbegu anapandikiza kwako ambayo mbegu hio humea na kuzaa matunda ambayo yanafanana kabisa na yule mtu.

HAMADI HAMADI siku mmeachana kama hujapata muda wa kukaa na Mungu na kuhakikisha umeuwa ile mbegu ndani yako.Ile mbegu HUKUA, na mtu atakaye kufwata na kukutongoza atakuwa ni jamii ya mbegu ile ileee maana kilichopandikizwa kwako KIMEVUTA AINA ILEILE.Kama ulilala na mchungwa basi jua MICHUNGWA ndo itakutongoza na utaishia na michungwa. WENGI tunapenda kusema WANAUME WOTE NI SAWA.Kila ninayempata ana tatizo lile lile.. NO SIO KWELI!Tatizo ni wewe sio wao...ENERGY YAKO inavutia watu wa aina ile sababu huja deal na your PAST.

Ukiona unatongozwa na waume za watu basi jua,Mume wa mtu yule uliyelala nae amekuachia energy au mbegu za wanaume wa watu ndo maana wanakufwata(Please deal with your past na utakuwa sawa)

Utafanyaje sasa kuuwa ule mzizi wa mbegu ya kale?Ni hivi..Ukiwa kwa mahusiano kwanza usikubali kulala na mtu kama unajua kabisa hakuna future;Dini hazijakosea kusema usilale hadi ndoa maana wale watu wa kale walifunguliwa maono haya wakayaandika kwa neno moja wakaita #KUZINI.Maana ya kuzuni ni kukubali kupandikizwa mbegu ISIYOKUHUSU itakayo kuharibia MAISHA.

Ukiachana na mtu.Kaa MWAKA mzima bila kuwa na mwingine ukiwa unasafisha na kutoa MBEGU mbaya ulizoachiwa.Ukikurupuka na kudate tena TRUST ME.Atakaye kuja ni sawa na yuleyule maana WE ATTRACT THE SAME ENERGY na ile mbegu ya yule bado iko hai so kilichokufanya ukaachwa huku kitarudia tena huko.

TULIZANA MAMA USIWE NA PAPARA YA MAHUSIANO utaja lizwa tena maana BADO WANUKA SHOMBO ya samaki uliyeachana nae so SAMAKI WA SHIMBO ILE ILE ATARUDI TENA.

Safisha SHOMBO kwa mwaka mzima.KUWA NA MUDA na MUNGU wako.Kukimbilia mahusiano mapya KUTAKUCOST.

1035 0 19 September, 2019
@lillianmwasha.anthony Profile picture

@lillianmwasha.anthony

Women's world

Ahsante saana kwa kutupenda na kuwa nasi..Tupo sababu upo. EPISODE MPYA ya women matters imetoka..Nenda Yutube andika tu WOMEN MATTERS utapata kuona kipindi kizima.

@mamaterrytz
@auntsadaka
@deborahkaisi

235 0 16 September, 2019
@lillianmwasha.anthony Profile picture

@lillianmwasha.anthony

JESUS is POWER

So its like this..When JESUS decides to bless you he BLESSES you.It doesnt matter what you go through but when he dwells in your heart TRUST ME...EVERYTHING MUST BE ALRIGHT.

Weekend ndo ishaisha hiyo kesho unaanza siku mpya kabisa...Ni ombi langu kwamba umtazame BWANA katika kila upangalo kufanya kesho.USIKUBALI kulala na wasiwasi na roho nzito.Kama hujasamehe ebu samehe usiku huu na hakikisha kesho unapendeza kazini balaaa.....Hata kama bosi hakupendi we komaa tu na kesho pendeza kazini balaaa na ikiwewekana wahi kazini kabla yake ili ukaguse kiti chake na kukiombea na kukitamkia KIBALI kabla ye hajafika.

Sio unalala late na kesho unaingia kazini umechelewa..TRUST ME ITAKULA KWAKO NA UTAIONA SIKU CHUNGU.Nimekupa siri mpenzi AMKA MAPEMA..SALI...PENDEZA na UWAHI KAZINI KABLA YAKE na ukaguse kiti chake UKIOMBEE KABLA HAJAFIKA..Utanipigia simu unipe ushuhuda kwa jambo hili (Aliye na masikio na asikie)

To all my children mnaofungua shule kesho.I expect all of you to be in bed by now.....Go shine and make sure mummy blesses you and prays for your books and selves before you go to bed.(If daddy is home ask him to bless you NOW)

Wajanja katika imani ya kristo ndio WASHINDAO.

Wewe mwenzangu na mie usie na kazi....Kesho yako umeipangaje?Ukienda kitandani kulala na hujajua kesho ukiamka unafanya nini HILO NI KOSA LA JINAI..Plan basi kwenda hata kariakoo ukaangalie fursa za biashara..Usilale bila MPANGO KATI WA KESHO.

LOVE YOU GUYS.
#JesusLovesYou.

@makande_jr7 your work is too great.
@ki2pe utabaki kuwa JUU

908 0 15 September, 2019